IRENE SIZAWE ATWAA TAJI LA MISS UBUNGO

IRENE SIZAWE ATWAA TAJI LA MISS UBUNGO

 Miss Ubungo 2012, Irene Sizawe, akipunga mkono wa shukurani kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi.

 Irene Suzawe (katikati), akipozi na washindi wenzake wawili mara baada ya kutwaa taji hilo.


 Warembo waliofanikiwa kuingia kwenye tano bora wakijibu maswali ya majaji.

 Baadhi ya warembo hao wakitoa burudani ukumbini hapo.


 Warembo wakikatiza jukwaani kuonesha vazi la ubunifu.

 SHINDANO la kumsaka Mrembo wa Kitongoji cha Miss Ubungo 2012, limefanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Land Mark Hotel Ubongo jijini Dar es Salaam, ambapo Irene Sizawe ametwaa taji hilo, huku Mwantumu Mustapha akichukua nafasi ya pili na ya tatu ikinyakuliwa na Antonia Nyarugunda.Shindano hilo lilisindikizwa na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, huku Mkurugenzi wa mashindano hayo Hasheem Lundega alihudhuria kushuhudia mchakato ulivyokua.

No comments:

Post a Comment